Posts

Showing posts from 2019

Chinese

Image
 Fahamu jinsi ya kuandaa shamba la chinize na vitu gani unatakiwa kufahamu kuhusu  chinize . Spinachi ni moja kati ya mazao ya mbogamboga inayo limwa sana nchini Tanzania na asili yake ni china na ndo maaana huwa tunaiita chinese na badae likasambaa katika nchi mbalimbali ikiwemo na Tanzania. Mboga hii huwa haina msimu, hivyo mkulima anaweza kulima muda wowote ambao anataka, na hii itategemea upatikanaji wa maji wa maji kwa wingi. Kwani mboga hii huhitaji maji kwa wingi katika hatua za awali. Hali ya hewa inaoyofaa kwa kilimo hiki ni. Jotolidi; Chinese au  linastawi na kukua vizuri kwenye maeneo yenye jotolidi 18 °c hadi 27° c. Unyevunyevu; chinese  ni zao linalo tegemea umwagiliaji kama ambavyo nimekwisha eleza hapo awali hivyo linaitaji maji mengi wakati wa ukuaji. Udongo; chinese cabbage linakua vizuri kwenye udongo wa kichanga na wenye unyevunyevu wa kutosha PH; 5.5 hadi 7.6 Namna ya kuandaa shamba. Udongo unatakiwa utifuliwe vizuri kabla ya kupa...
Image
UPANDAJI MCHICHA KWA NJIA YA KITARAMU,UTUNZAJI Zifahamu aina za mbengu za mchicha Amaranthus hybridus huu ni mchicha wenye majani mekundu na mbegu zake ni nyeusi. 2. Amarantus africana ni mchicha wenye majani ya kijani na mbegu zake ni ni nyeusi. 3. Amaranthus hypochondriacus ni mchicha wenye majani ya kijani na mbegu zake ni njano hasa mbegu zake hutumika kutengeneza uji wa watoto wachanga. 4. Amaranthus dubius ni mchicha wa kienyeji na Aspinosus ni mchicha wenye miba mingi. Video ya kupanda mchicha kitaramuhttps://youtu.be/0Z4eXsFUdfc UPANDAJI MCHICHA KWA NJIA YA KITARAMU ZAID 1. Mchicha upandwe katika tuta kwa mistari yenye nafasi ya sentimita thelathini. 2. Funika mbegu kwa kutumia udongo uliolaini na tandaza nyasi kavu baada ya kupanda ili kutunza unyevunyevu na toa matandazo baada ya siku tatu hadi tano tangu siku ya kupanda. 3. Pandikiza mchicha kwa nafasi ya sentimeta kumi na tano kwa ishirini.( video hii Inaonesha jinsi ya kupandikiza mchicha...